KODI YA LINE NI MZIGO KWA MLALAHOI

Home Forums About CESOPE KODI YA LINE NI MZIGO KWA MLALAHOI

Viewing 1 post (of 1 total)
 • Author
  Posts
 • #157
  Anthony L.
  Moderator

  Hivi kalibuni serekali imeamua kutoza kodi ya line ya simu hii inamaana kila line utatakiwa kulipa sh. 1000 kwa mwezi kama line unazo mbili au tatu yani una vod una tigo au pia airtel utatakiwa kulipa sh. 3000 kwa mwezi kwa mwaka 36000.

  Tasisi ya CESOPE ina pinga huo utaratibu kumubebesha mzigo wa makodi kibao
  Mlala hoi WAKATI SEREKALI HIYOHIYO UNATOA MSAMAHA wa kodi KWA MAKAPUNI YA UWEKEZAJI hi si sahii serekli kuendesho na walala hoi wakati serekali hiyohiyo hinaachia rasilimali za watanzania zikipolwa na wanao jiita wawekezaji.

  CESOPE HITASHILIKIANA NAMH. MYIKA KUKUSANA SIHIHI ZA WOTE WATAKAO KUWA TAYALI KUUNGANA NASI ILI MH. MYIKA APELEKE HOJA BINAFIS BUNGENI KUFUTA HII KODI HATUKO TAYALI KAMA TASISI INAYO JALIBU KUWAKOMBOA WATU KWA UMASIKINI KUONA SEREKALI KUMTWUKA HUYOHUYO MLALA HOI MINGO MWENGINE

  MKURUNGEZI MTENDAJI CESOPE

Viewing 1 post (of 1 total)
 • You must be logged in to reply to this topic.