Ziara ya Madiwani wa Bahi Mtwara, Kujifunza Uwekezaji wa secta ya Madini

Home Forums Projects Ziara ya Madiwani wa Bahi Mtwara, Kujifunza Uwekezaji wa secta ya Madini

Viewing 1 post (of 1 total)
 • Author
  Posts
 • #153
  Mathias
  Participant

  Hivi karibuni madiwani wa wilaya ya bahi walikuwa na ziara ya kimafunzo mkoa wa mtwara lakini katika ziara hiyo jambo kuu ilikuwa pamoja na kujifunza mambo ya uwekezaji kwani kama mjuavyo kulitokea vurungu nyingi wananchi wa mtwara aliandamana kupiga ujenzi wa bomba la gesi kutoka mtwara kwenda dar habari zakuaminika nikuwa ziara hiyo ilikuwa na shinikizo la mkuu wa mkoa wa Dodoma ambaye anahofia kuwa yalio tokea mtwara yasije yakatokea bahi kwa maana hiyo madiwani wa bahi na uongozi kwa ujumla wanafikiri wakijifunza mtwara basi wanaweza epuka yasitokee wilaya ya Bahi kutokana na mpango uliyopo wa uwekezaji wa uchimbaji wa madini ya Urani. mpango ambao wananchi wa Bahi hawauungi mkono.

  Unafikiri ziara hii itakuwa na tija kwa wananchi wa Bahi?

Viewing 1 post (of 1 total)
 • You must be logged in to reply to this topic.