ZIARA YA MADIWANI WA BAHI MTWARA

Home Forums ZIARA YA MADIWANI WA BAHI MTWARA

Viewing 1 post (of 1 total)
 • Author
  Posts
 • #145
  Anthony L.
  Moderator

  Hivi karibuni madiwani wa wilaya ya bahi warikuwa na ziara ya kimafuzu mkoa wa mtwara laki katika ziaara hiyo jambo kuu ilikuwa pamoja na kujifunza mambo ya uwekezaji kwani kama munavyo jua kulitokea vurungu nyingi wanainchi wa mtwara aliandamana kupiga ujinzi wa bomba la gesi kutoka mtwara kwenda dar habari zakuaminia nikuwa ziara hiyo ilikuwa na shinikizo la mkuu wa mkoa wa Dodoma ambaye anahofia kuwa yalio tokea mtwara yasije yakatokea bahi kwa maana hiyo madiwani wa bahi na uongozi kwa ujumla wanafikiri wakijifunza mtwara basi wanaweza epuka yasitokee wilaya ya Bahi

  Je kweli MADIWANI WA WILAYA YA BAHI WATAFANIKIWA ? Naomba maoni yako

Viewing 1 post (of 1 total)
 • You must be logged in to reply to this topic.